Judges 11:24

24 aJe, haikupasi kuchukua kile ambacho mungu wako Kemoshi amekupa? Vivyo hivyo, chochote kile Bwana Mwenyezi Mungu wetu alichotupa sisi, tutakimiliki.
Copyright information for SwhKC